News
-
SHULE YA UPILI YA KAPSAIT YANUFAIKA NA MRADI WA MAJI KUTOKA KANISA LA ST. GEORGES BAPTIST SOUTH CAROLINA USA.
Shule ya upili ya Kapsait eneo bunge la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya shule ambazo zimenufaika na mradi wa maji ambao umefadhiliwa na kanisa la St.Georges […]
-
RAIS RUTO AENDELEA KUPOKEA SHUTUMA KWA ‘KUKIUKA’ AHADI ALIZOTOA KWA WAKENYA KUHUSU GHARAMA YA MAISHA.
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameelezea kusikitishwa na kile walisema kwamba rais William Ruto kwenda kinyume na ahadi ya kupunguza gharama ya maisha aliyotoa kwa wananchi wakati […]
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAENDELEZA MIKAKATI YA KUBUNI SHERIA ZA KUKABILI UKEKETAJI.
Harakati za kukabiliana na utamaduni wa ukeketaji katika kaunti ya pokot magharibi zimepigwa jeki baada ya baraza la wazee wa jamii ya pokot, kuahidi kuhusika katika vita dhidi ya mila […]
-
MIKWARUZANO YA KISIASA YAENDELEA TRANS NZOIA KUFUATIA SHINIKIZO LA KUBUNIWA KAUNTI MPYA YA MLIMA ELGON.
Viongozi wa chama cha Ford Kenya katika kaunti ya Trans nzoia wamewakosoa vikali baadhi ya viongozi katika kaunti hiyo ambao wanashinikiza kubuniwa kaunti mpya ya mlima Elgon kwa kumlaumu gavana […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWATUMIA VIJANA WALIOASI WIZI WA MIFUGO KATIKA KUWAKABILI WAHALIFU BONDE LA KERIO.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Prof. John Lonyangapuo amependekeza kutumika vijana walioasi wizi wa mifugo kuwa maajenti wa serikali katika kuhakikisha amani inadumishwa katika kaunti za bonde la […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA USAWA KATIKA OPARESHENI YA KUWAKABILI WAHALIFU BONDE LA KERIO.
Mbunge wa pokot kusini David Pkosing ameendeleza shinikizo kwa waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki kuwaajiri maafisa wa akiba NPR katika kaunti ya Pokot […]
-
MKAGUZI WA BAJETI AAHIDI KUFUATILIA MIRADI AMBAYO INATEKELEZWA KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakango yuko kaunti ya Pokot magharibi katika shughuli ya kukagua jinsi ambavyo serikali ya kaunti hiyo inaendeleza miradi mbali mbali na jinsi ambavyo fedha zimetumika katika […]
-
DUALE: VIKOSI VYA KDF VITAKITA KAMBI BONDE LA KERIO HADI UHALIFU UMALIZIKE.
Waziri wa ulinzi Aden Duale amesema kuwa maafisa wa kikosi cha ulinzi KDF hawataondolewa kwenye eneo la Kerio valley hadi wahalifu watakapokabiliwa. Akiongea kwenye ziara yake katika baadhi ya maeneo […]
-
WADAU WATAKIWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAHUDHURIA MASOMO POKOT MAGHARIBI.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana na idara ya elimu katika kuhakikisha kwamba kila mtoto aliye katika umri wa kwenda shule anahudhuria masomo. Akizungumza afisini […]
-
KINDIKI ATARAJIWA KUZURU POKOT MAGHARIBI HUKU VISA VYA UVAMIZI VIKITAJWA KUPUNGUA.
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki anapotarajiwa kurejea katika kaunti ya Pokot magharibi kutathmini hali ya usalama hasa maeneo ya mipakani, wakazi wa kaunti […]
Top News