News
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU.
Huduma za afya zinatarajiwa kuimarika kaunti ya Pokot magharibi baada wizara ya afya kaunti hiyo kupokea shehena ya kwanza ya vifaa vya matibabu vitakavyotumika na wahudumu wa afya maeneo ya […]
-
JAMII YATAKIWA KUKUMBATIA MBINU ZA UPANGAJI UZAZI ILI KUKUZA KIZAZI CHENYE AFYA.
Ipo haja ya jamii kukumbatia mbinu za upangaji uzazi ili kukuza kizazi chenye afya hasa hali ya maisha inapoendelea kubadilika kila kuchao kufuatia kupanda kwa gharama ya maisha. Akizungumza eneo […]
-
IDARA YA POLISI POKOT MAGHARIBI YAAPA KUKABILIANA NA WALANGUZI WA RISASI.
Kamanda wa polisi kaunti ya Pokot magharibi Peter Katam amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kwamba idara ya polisi imeweka mikakati ya kuhakikisha wafanyibiashara waneoendeleza biashara haramu ya uuzaji risasi wanakabiliwa. […]
-
RISASI 749 ZANASWA MARICH ZIKISAFIRISHWA KUELEKEA LAMI NYEUSI POKOT MAGHARIBI.
Maafisa wa polisi katika kizuizi cha polisi cha marich kaunti ya Pokot magharibi wamenasa risasi 749 ambazo zilikuwa zinasafirishwa na mhudumu wa boda boda. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi […]
-
SERIKALI POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA WA WANANCHI MVUA YA ELNINO INAPOTARAJIWA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeendelea kuweka mikakati ya kuzuia athari zozote ambazo huenda zikashuhudiwa wakati wa mvua ya elnino ambayo inatarajiwa kushuhudiwa maeneo mbali mbali ya nchi kuanzia […]
-
RAIS ASUTWA KWA UTENDAKAZI DUNI MWAKA MMOJA TANGU ALIPOINGIA AFISINI.
Baadhi ya wananchi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelelea kumsuta rais William Ruto kwa kile wamedai kwamba kuendelea kutoa ahadi tele kwa wakenya kila eneo analozuru hali hatekelezi ahadi hizo. […]
-
SERIKALI POKOT MAGHARIBI YATETEA HATUA YA KUWAAJIRI WATAALAM WA KUTOA MAFUNZO KWA WAKULIMA.
Waziri wa kilimo, mifugo, uvuvi na unyunyiziaji maji mashamba kaunti ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang amepuuzilia mbali madai kwamba kulikuwa na mapendeleo katika kuwaajiri wataalam wa kutoa ushauri kwa wakulima […]
-
UMASIKINI MIONGONI MWA KINA MAMA WATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Umasikini na hali ya wanawake kuwategemea zaidi waume zao kwa mahitaji yao mengi hasa ya kimsingi ndio maswala ambayo yametajwa kuchangia zaidi visa vya ukeketaji na dhuluma za kijinsia miongoni […]
-
MTU MMOJA AUAWA HUKU WAWILI WAKIJERUHIWA TURKWEL.
Mtu mmoja ameuliwa kwa kupigwa risasi huku wengine wawili wakiachwa na majeraha mabaya eneo la Turkwel kaunti ya Pokot magharibi katika shambulizi la hivi punde ambalo linaaminika kutekelezwa na wahalifu […]
-
MWANAMKE AWATEKETEZA WATOTO WA MKE MWENZA NA KUTOWEKA KAPCHOK, POKOT MAGHARIBI.
Polisi eneo la Kapchok kaunti ya Pokot magharibi wanamsaka mwanamke mmoja anayedaiwa kuwateketeza watoto watatu baada ya kuwafungia katika chumba ambacho kilikuwa kimeezekwa kwa nyasi katika kijiji cha Kalukuna wadi […]
Top News