News
-
MIRADI YA KILIMO YAPUNGUZA DHULUMA ZA KIJINSIA POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Mkurugenzi mkuu wa shirika la centre for indigenous child right katika kaunti ya Pokot magharibi Evelyn Prech amepongeza miradi ambayo ilianzishwa na shirika hilo kwa ushirikiano na […]
-
KATAMA: USALAMA UMEIMARIKA BAADA YA KUAJIRIWA MAAFISA WA NPR.
Na Emmanuel oyasi. Idara ya usalama katika kaunti ya Pokot magharibi imewahakikishia wakazi wa maeneo ya mipakani ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama kwamba hali ya usalama imeimarishwa maeneo haya […]
-
CHAMA CHA KNUT POKOT MAGHARIBI CHASHUTUMU VISA VYA WAZAZI KUVAMIA SHULE KULALAMIKIA MATOKEO.
Na Emmanuel oyasi. Chama cha walimu nchini KNUT kimeshutumu vikali visa ambapo wazazi wamevamia shule maeneo mbali mbali ya nchi kulalamikia matokeo mabaya ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha […]
-
BABA AKAMATWA KWA KUWADHULUMU WANAWE KINGONO LOMUT.
Na Benson Aswani. Visa vya dhuluma dhidi ya watoto vimeendelea kuripotiwa katika baadhi ya maeneo ya kaunti ya Pokot magharibi licha ya juhudi za serikali na baadhi ya mashirika ya […]
-
PKOSING ALALAMIKIA KUHANGAISHWA KUHUSIANA NA HATUA YAKE YA ‘KUWATETEA’ WANANCHI.
Na Benson Aswani Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi David Pkosing ameshutumu hatua ya kuagizwa kuandikisha taarifa katika idara ya uchunguzi wa uhalifu CID kwa madai ya […]
-
GAVANA KACHAPIN ATAKELEZA MABADILIKO KWENYE BARAZA LAKE LA MAWAZIRI.
Na Emmanuel oyasi. Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametekeleza mabadiliko kadhaa kwenye baraza lake la mawaziri ambapo baadhi ya mawaziri na maafisa wakuu wamehamishiwa wizara mbali mbali.Katika […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUWAPELEKA MAPEMA WANAO WANAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULENI ILI KUSAJILIWA.
Na Benson Aswani. Shughuli ya kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na shule za upili ikiendelea, wito umetolewa kwa wazazi wa wanafunzi ambao bado hawajaripoti katika shule walizoitwa kuhakikisha watoto wao wanaripoti katika […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KURIPITIWA KERIO VALLEY MWALIMU MMOJA AKIULIWA BARINGO.
Na Emmanuel Oyasi. Hali ya taharuki imetanda eneo la Bartabwa, eneo bunge la Baringo kaskazini kufuatia kisa cha Jumapili wiki hii cha mauaji ya naibu mwalimu mkuu wa shule ya […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUZAMIA KILIMO CHA NYASI.
Na Benson Aswani. Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia wizara ya kilimo inalenga kuimarisha kilimo cha nyasi hasa katika kipande cha ardhi cha Nasukuta ili kutosheleza mahitaji ya […]
-
WIZARA YA ELIMU YATAKIWA KUHAKIKISHA CHAKULA CHA KUTOSHA KWA SHULE ZA MIPAKANI POKOT MAGHARIBI.
Na Emmanuel Oyasi. Mbunge wa Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong amemtaka waziri wa elimu Ezekiel Machogu kubuni sheria ambayo itahakikisha kwamba chakula hakikosekani katika shule za maeneo […]
Top News