News
-
IDARA YA USALAMA POKOT KUSINI YALENGA KUPIGA MARUFUKU BIASHARA YA POMBE NA MICHEZO YA ‘POOL’.
Na Emmanuel Oyasi. Idara ya usalama eneo la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza vikao vya kutafuta maoni ya wakazi wa eneo hilo kuhusu biashara ya pombe na michezo […]
-
MAMLAKA YA MAJANGA YAIKABIDHI SHULE YA UPILI YA KIWAWA MAGODORO 30 BAADA YA BWENI LA SHULE HIYO KUTEKETEA.
Na Benson Aswani. Maafisa kutoka idara inayoshughulikia majanga katika kaunti ya Pokot magharibi wamezuru shule ya upili ya wavulana ya Kiwawa eneo la Kacheliba kutathmini uharibifu uliosababishwa na moto ambao […]
-
BAADHI YA WANAFUNZI WAKOSA KURIPOTI KATIKA SHULE ZA UPILI POKOT MAGHARIBI LICHA YA MPITO WA ASILIMIA 100.
Na Emmanuel Oyasi. Baadhi ya wanafunzi eneo la Weiwei pokot ya kati katika kaunti ya Pokot magharibi hawajaripoti katika shule za upili ambazo waliitwa licha ya juhudi za serikali kuhakikisha […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA SHULE ZA MIPAKANI KUPEWA KIPAU MBELE KWA MGAO WA BASARI.
Na Benson Aswani. Viongozi wa maeneo ya mipakani katika kaunti ya Pokot magharibi ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama wametoa wito kwa gavana wa kaunti Simon Kachapin kutoa fedha za […]
-
KUFUNGULIWA KANISA LA ELCK DAYOSISI YA KERIO VALLEY KWATAJWA KUWA HATUA KUFIKIA SULUHU KWA UTOVU WA USALAMA MAENEO YA MIPAKANI.
Na Benson Aswani. Swala la utovu wa usalama katika bonde la kerio lilitawala hafla ya kutawazwa rasmi kwa askofu mpya wa kanisa la ELCK dayosisi ya kerio valley ambayo iliandaliwa […]
-
MABWENI MATATU YA SHULE YA UPILI YA KIWAWA YATEKETEA.
Na Emmanuel Oyasi. Shule ya upili ya wavulana ya Kiwawa eneo la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi inakadiria hasara baada mabweni matatu ya shule hiyo kuteketea usiku wa kuamkia […]
-
MKUTANO WA AMANI BAINA YA JAMII ZA POKOT NA SEBEI WATIBUKA JAMII YA POKOT IKITAJWA KUWA KERO.
Na Benson Aswani. Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikinao na ile ya taifa jirani la Uganda zinaendeleza mikakati ya kudumisha amani na ushirikiano miongoni mwa jamii za Pokot […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATIA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA MAMLAKA YA KVDA.
Na Emmanuel Oyasi.Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imetia saini mkataba wa maelewano na mamlaka ya maendeleo ya Kerio valley KVDA ambao utaiwezesha mamlaka hiyo kushirikiana na serikali ya kaunti […]
-
HATUA YA RAIS RUTO KUKUTANA NA JAJI MKUU YAENDELEA KUVUTIA HISIA MSETO.
Na Emmanuel Oyasi. Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa kufuatia hatua ya rais William Ruto kukutana na jaji mkuu Martha Koome miongoni mwa maafisa wengine kutoka idara ya mahakama na serikali katika […]
-
HOSPITALI YA RUFAA YA KAPENGURIA YAIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI.
Na Benson Aswani.Hospitali ya Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi imeendelea kuweka mikakati ya kuimarisha huduma kwa wagonjwa wanaohitaji upasuaji.Kulingana na mkuu wa matibabu katika hospitali hiyo Dkt Simon Kapchanga, […]
Top News