Author: Charles Adika
-
Kachapin atakiwa kuangazia lalama za wanafunzi kuhusu basari
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ametoa wito kwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuangazia lalama ambazo zinatolewa na baadhi ya wanafunzi wa shule za upili […]
-
Mpango wa ‘Ondoa Nyasi’ pokot magharibi washika kasi
Na Benson Aswani,Mpango unaondelezwa na gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuwajengea wakazi nyumba za mabati maarufu ondoa nyasi ni wenye manufaa makubwa hasa ikizingatiwa nyasi ambazo zinatumika […]
-
Wachezaji Amos Wanjala na Aldrine Kibet wanaelekea kucheza nchini Uhispania
Nahodha wa timu ya taifa ya wachezaji wa chini ya umri wa miaka 20, Amos Wanjala, anatarajiwa kusaini mkataba na klabu ya Elche CF nchini Uhispania, akijiunga na mwenzake Aldrine […]
-
Agizo la kuwapiga risasi miguuni wanaovuruga amani kwenye maandamano lazidi kukeketa
Na Benson AswaniAgizo la rais William Ruto kwa maafisa wa polisi kuwapiga risasi na kuwajeruhi miguuni wahalifu ambao wanatumia maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen-Z kuvuruga amani na kupora […]
-
Serikali yatakiwa kuweka mikakati mwafaka kabla ya kurejelewa uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali ya kitaifa kuweka mikakati ya usalama maeneo ya kuchimba migodi katika kaunti hiyo kabla ya kuruhusu shughuli hiyo kurejelewa rasmi. […]
Top News