Author: Charles Adika
-
Shirika la CEFA lakamilisha rasmi shughuli zake Endough
Na Benson AswaniShule ya upili ya wasichana ya Kriich katika wadi ya Endough kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya shule ambazo zimenufaika na miradi inayoendelezwa na shirika la CEFA. […]
-
Kachapin aisuta idara ya elimu kwa kuendeleza ubaguzi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amelalamikia kile amedai kuendelezwa ubaguzi katika idara ya elimu, kaunti zingine zikipendelewa kuliko kaunti hii ya Pokot magharibi. Akizungumza katika […]
Top News