Author: Charles Adika
-
Huenda ODM ikajiondoa Azimio kuelekea uchaguzi wa 2027; Poghisio
Samwel Poghisio aliyekuwa seneta wa kaunti ya pokot Magharibi ,Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Kuna uwezekano mkubwa wa chama cha ODM kuunda muungano mmoja na serikali ya Kenya kwanza kuelekea uchaguzi mkuu […]
-
Ajali ya ndege iliyomwangamiza Ogolla ilipangwa; Kalonzo
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akiwahutubia wanahabari, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Viongozi wa mrengo wa upinzani wameendelea kutilia shaka ripoti ya uchunguzi wa kiini cha ajali ya ndege iliyomwangamiza mkuu wa […]
-
Mabadiliko ya tabia nchi yapelekea vipindi visivyotabirika vya mvua
Wilson Lonyang’ole Mkurugenzi wa idara ya utabiri wa hali ya anga kaunti ya pokot magharibi, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Maeneo mengi ya kaunti ya Pokot magharibi hasa nyanda za chini […]
-
Vikao vya kuwahamasisha wakazi dhidi ya ndoa za mapema vyaendelezwa Pokot magharibi
Masika Mwinyi afisa wa miradi katika shirika Youth for a Sustainable World YSW, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Shirika la Youth for a Sustainable World YSW linaendeleza uhamasisho maeneo mbali mbali […]
Top News









