Author: Charles Adika
-
Athari za ajali ya ndege Kaben zadhihirika mwaka mmoja baadaye
Aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini jenerali Francis Ogolla, Picha/Maktaba Na Benson AswaniMwaka mmoja tangu kuanguka ndege iliyomuua aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini jenerali Francis Ogolla, wakazi wa kijiji cha Kaben […]
-
Huenda ODM ikajiondoa Azimio kuelekea uchaguzi wa 2027; Poghisio
Samwel Poghisio aliyekuwa seneta wa kaunti ya pokot Magharibi ,Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Kuna uwezekano mkubwa wa chama cha ODM kuunda muungano mmoja na serikali ya Kenya kwanza kuelekea uchaguzi mkuu […]
-
Ajali ya ndege iliyomwangamiza Ogolla ilipangwa; Kalonzo
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akiwahutubia wanahabari, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Viongozi wa mrengo wa upinzani wameendelea kutilia shaka ripoti ya uchunguzi wa kiini cha ajali ya ndege iliyomwangamiza mkuu wa […]
-
Mabadiliko ya tabia nchi yapelekea vipindi visivyotabirika vya mvua
Wilson Lonyang’ole Mkurugenzi wa idara ya utabiri wa hali ya anga kaunti ya pokot magharibi, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Maeneo mengi ya kaunti ya Pokot magharibi hasa nyanda za chini […]
Top News