Author: Charles Adika
-
Tunapasa kubadilisha dhana ya kutegemea ufugaji kupitia elimu; Mastaluk
Richard Mastaluk Mwakilishi wadi ya Kapenguria, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuwahimiza wazazi kukumbatia elimu ya wanao kwa manufaa ya maisha yao […]
-
Wazazi wahimizwa kuwekeza katika elimu ya wanao
Kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi,Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa msitari wa mbele kukumbatia elimu kwa ajili ya wanao hasa wa […]
-
Poghisio aitaka serikali kukoma mtindo wa ukopaji
Samwel Pogihisio aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Maktaba Na Benson AswaniMiito imeendelea kutolewa kwa uongozi wa serikali ya kenya kwanza chini ya rais William Ruto kupunguza madeni ambayo […]
-
Tukome kuzungumzia mabaya ya serikali, tuangazie mema; Lotee
Titus Lotee Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Wandani wa rais William Ruto katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumtetea kutokana na utendakazi wake tangu […]
Top News