Author: Charles Adika
-
Shirika la GVRC laandaa kikao na wanahabari kuangazia vita dhidi ya dhuluma za jinsia
Wanahabari kutoka kaunti ya Pokot Magharibi katika mkutano wa kuangazia jinsi ya kukabili dhuluma za kijinsia, Picha/Aswani Na Benson Aswani,Shirika la Gender Violence Recovery Centre GVRC limeandaa kikao na wanahabari […]
-
Wabunge wasimama tisti na NG-CDF
Samwel Moroto Mbunge wa Kapenguria, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Wabunge nchini wameendelea kutetea hazina ya ustawishaji maeneo bunge NG-CDF wakitofautiana na pendekezo la kinara wa chama cha ODM Raila Odinga la […]
-
Hospitali ya Kapenguria yapania kuimarisha huduma kwa kubadilisha mfumo wake
Chumba cha wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya Kapenguria, Picha/Maktaba Na Benson Aswani,Uongozi wa hospitali ya Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi umetoa wito kwa wanaofika kutafuta huduma za afya […]
-
Kadinali Robert Francis Prevost kutoka Amerika ndiye Papa Mpya
Papa mtakatifu mpya wa kanisa katoliki duniani Leo XIV, Picha/Maktaba Na Emmanuel Wakoli, Kadinali Robert Prevost kutoka Amerika, mwenye umri wa miaka 69 alichaguliwa kumrithi Papa Francis aliyefariki dunia Jumatatu […]
Top News