Author: Charles Adika
-
Wakfu wa Safaricom waikabidhi zahanati ya Kreswo vifaa vya matibabu
Maafisa kutoka wakfu wa safaricom wakikabidhi zahanati ya Kreswo vifaa vya matibabu,Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Zahanati ya Kreswo katika wadi ya Riwo kaunti ya Pokot magharibi imepigwa jeki baada ya […]
-
Lotee akemea hazina ya taifa kwa kuchelewesha fedha za CDF
Mbunge wa kacheliba akizundua Basari,Picha/Joseph Lochele Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee amezindua basari ya kima cha shilingi 60,000,000, katika hafla ambayo iliandaliwa alhamisi […]
-
Jopo la kuangazia dhuluma za jinsia laandaa vikao vya umma
Wakaazi wa kaunti ya pokot magharibi wakitoa maoni kuhusu dhuluma za kijinsia, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Jopokazi la kuangazia swala la dhuluma za jinsia linaendeleza zoezi la kuwahusisha wananchi katika […]
-
Viongozi Pokot magharibi wazidi kuteta kuhusu uchimbaji haramu wa madini
Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong akiwa na baadhi ya wanaochimba madini, Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia kile wamedai uchimbaji madini kinyume […]
Top News