Author: Charles Adika
-
Serikali yatakiwa kuweka mikakati ya kukabili baa la njaa Turkwel
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi wengi wa eneo la Turkwel kaunti ya Pokot magharibi wanakabiliwa na njaa kutokana na kutokuwepo na mikakati ya kuwahusisha katika shughuli za kilimo cha mimea, na hivyo […]
-
Bunge la kaunti ya Pokot Magharibi lapitisha sheria itakayoruhusu kuachiliwa fedha za basari
Na Benson Aswani,Kwa muda mrefu fedha za basari katika kaunti ya Pokot magharibi zimekuwa zikitolewa kwa wanafunzi bila ya sheria rasmi ya kuongoza jinsi fedha hizo zinatolewa. Ni kutokana na […]
-
Wizara ya madini yaweka mikakati ya kudhibiti uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Wizara ya madini imezindua afisi yake mjini Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi katika juhudi za kuimarisha sekta hiyo na kuhakikisha kwamba shughuli ya uchimbaji madini inatekeleza kwa […]
Top News