Author: Charles Adika
-
Wakulima watakiwa kukumbatia mbinu za asili za kilimo
Na Emmanuel Oyasi,Wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi wameshauriwa kukumbatia mbinu za kiasili katika kuendeleza shughuli zao za kilimo kama njia moja ya kuimarisha mazao na kuhifadhi mazingira. Wito huu […]
-
Mhudumu wa afya amlawiti mgonjwa Murpus
Na Benson Aswani,Mhudumu mmoja wa afya mwenye umri wa miaka 55 eneo la Murpus kaunti ya Pokot magharibi anazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai ya kumlawiti kijana mmoja, mwanafunzi […]
-
Vita dhidi ya ujangili vyashika kasi Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Khalif Abdulahi ameendeleza wito kwa wakazi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzirejesha kabla ya kukamilika makataa ya mwezi mmoja yaliyotolewa na waziri […]
Top News









