AKOFU CRAWLEY AKASHIFU HALI YA WANAFUNZI KUTOVALIA BARAKOA


Askofu wa kanisa Katholiki dayosisi ya Kitale Anthony Maurice Clawley amelezea wasisi kuhusu tabia ya idadi kubwa ya wanafunzi kutovalia barako wanaporejea nyumbani wakitoka shuleni.
Crawley amesema iwapo hali hiyo haitakabiliwa mapema huenda ikasababisha kusambaa kwa virusi vya corona katika familia zao na hata katika taasisi za elimu.
Aidha askofu huyo ameunga mkono agizo la rais Uhuru Kenyetta la kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ili kudhibiti maambukizi zaidi ya virusi vya corona