MAWAZIRI WALIOTEULIWA WATAKIWA KUWAHUDUMIA WAKAAZI TRANSNZOIA KWA USALAMA

C Natembeakatika kaunti ya Transnzoia majina hayo yakiwasilishwa kwenye Bunge la kaunti hiyo kabla ya kupigwa msasa Kinara wa wachache katika Bunge hilo Erick Wafula Mwangale ametaka walioteuliwa kuwa tayari kuwahudumia Wakaazi wa kaunti hiyo iwapo wataidhinishwa

Kulingana na kiongozi huyo amesema mara hii atazingatia wale mawaziri watakaoteuliwa wawe Wakaazi wa kaunti ya Transnzoia ambao watakuwa tayari kwa utendakazi wao ikilinganishwa na wale wa awali ambao amesema baadhi yao hawakuwa Wakaazi wa kaunti hiyo

Kiongozi huyo hata hivyo ameomba Wakaazi kuwaunga mkono wale mawaziri ambao wameteuliwa na gavana natembea kwa kujiepusha na ukabila ambaye amesema wana uwezo na kutoa huduma kikamilifu.