Author: Charles Adika
-
-
MPIGO WA KALYA RADIO
Ungana naye Alfamash kwanzia saa kumi na mbili ya asubuhi hadi saa nne
-
CHAMAKUTING’U
A Pokot show that unite and promote peace & love among Pokot nationJoin Paul Krop Wero Ngoriareng from 1800hrs to 0000hrs
-
WAKULIMA WAITAKA SERIKALI YA POKOT KUWASAMBAZIA PEMBEJEO KWA WAKATI
Huku wakulima wakiendelea kujitayarisha kwa msimu wa upanzi wakazi wa wadi ya Kodich kaunti hii ya Pokot Magharibi wametoa wito kwa serikali ya kaunti kuharakisha mikakati ya kuwasambazia wakulima pembejeo […]
-
AFISI YA ARDHI YA KAUNTI YA TRANS NZOIA YASHTUMIWA KUTOKANA NA UFISADI
Viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wameilaumu pakubwa afisi ya ardhi katika kaunti hiyo wakisema kuwa imekuwa kizingiti katika kutoa vyeti vya umiliki wa ardhi.Viongozi hao wakiongozwa na kiongozi wa […]
-
WAKAAZI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUKUMBATIA UKULIMA WA MIMEA
Mshirikishi wa mradi wa kilimo Kenya Climate Smart Philip Ting’aa ameipongeza serikali ya gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Pro John Lonyang’apuo kwa kukumbatia mradi huo ili kuhakikisha kuwa wakulima […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUEKEZA KATIKA SEKTA YA VIWANDA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi John Lonyang’apuo amesema kuwa serikali yake inanuia kuwekeza pakubwa katika sekta ya viwanda.Akizungumza na wanahabari, Lonyang’apuo amesema kuwa mpango mzima wa kuafikia lengo […]
-
-
-
PILKA PILKA
Ungana na Lilian Manyura pamoja na Marango Kizito Macho kwanzia saa nne hadi saa nane.
Top News









