News

SERIKALI YASHUTUMIWA KWA KUENDELEZA UBAGUZI KATIKA VITA DHIDI YA UHALIFU BONDE LA KERIO.

Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia jinsi serikali inavyoshughulikia swala la utovu wa usalama katika kaunti za bonde la kerio wakidai inaendeleza ubaguzi katika kuhakikisha hali ya usalama inarejelewa katika kaunti hizi. Wakizungumza katika hafla moja ya mchango ...
Continue reading

SERIKALI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA MAZINGIRA BORA KWA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU NCHINI.

Waziri wa leba Bi. Florence Bore amesema kwamba watu wanaoishi na ulemavu nchini wameendelea kukumbwa na vizingiti ambavyo kwa miaka mingi vimewapelekea kukosa kuhusika kikamilifu katika maswala ya maendeleo na kufurahia haki zao licha ya kwamba nafasi yao ni muhimu ...
Continue reading

SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA ZOEZI LA KUWAPA MIFUGO DAWA YA MINYOO.

Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia wizara ya kilimo na mifugo kwa ushirikiano na shirika la PSF Germany imeendeleza shughuli ya kuwapa mifugo dawa ya minyoo katika juhudi za kuimarisha mapato ya wafugaji. Maafisa wa shirika hilo waliendeleza shughuli ...
Continue reading

VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA KOMBE LA MURKOMEN KUSITISHWA KWA KUKOSA KUAFIKIA MALENGO YA KULETA AMANI.

Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi sasa wanataka mashindano ya kombe la Murkomen, kusitishwa mara moja kwa kile wamedai kwamba yamekosa kuafikia malengo ya kuhakikisha amani katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya Sook ambaye pia ni ...
Continue reading

KACHAPIN ASHINIKIZA SHULE ZILIZOFUNGWA KUTOKANA NA UTOVU WA USALAMA KUFUNGULIWA JANUARI.

Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba masomo yanarejelewa mwezi januari, katika shule ambazo zilifungwa maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama katika kaunti hiyo. Kachapin alisema kwamba yeye kama ...
Continue reading

Loading...

[wp_radio_player]