Latest in sports

CECAFA Yasikitishwa na Hatua ya Kenya ya Kujiondoa Kwenye Mashindano
Na Presenter wakoli Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya ghafla ya timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, kujiondoa katika Mashindano ya Mataifa Nne yanayoendelea mjini Arusha, Tanzania. Mashindano hayo yalipangwa ...

Wachezaji Amos Wanjala na Aldrine Kibet wanaelekea kucheza nchini Uhispania
Nahodha wa timu ya taifa ya wachezaji wa chini ya umri wa miaka 20, Amos Wanjala, anatarajiwa kusaini mkataba na klabu ya Elche CF nchini Uhispania, akijiunga na mwenzake Aldrine Kibet katika hatua kubwa kuelekea ligi ya juu ya LaLiga ...

Yanga ndio mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania wa mwaka 2024/2025
NA PRESENTER WAKOLI Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, imetwaa ubingwa wake wa nne mfululizo na wa 31 kwa ...

Hazina ya michezo inafaa kufadhili michezo pekee; Mvuria
Salim Mvuria waziri wa michezo na maswala ya vijana kenya, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Serikali imeanza kuchukua hatua za kulinda mfuko wa michezo, sanaa na maendeleo ya jamii wito ukitolewa wa kufanyiwa marekebisho ya sheria ili kuhakikisha kwamba mfuko huo unatumika ...

Kocha wa St Anthony Kitale Mayoyo amewaonya wapinzani kutarajia kivumbi mwaka huu
Peter Mayoyo {katika} katika hafla moja ya mashindano moja mwaka uliopita, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi, KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya shule ya upili ya St. Anthony Kitale katika kaunti ya Trans nzoia Peter Mayoyo amewaonya wapinzani kutarajia kivumbi ...