News

Kachapin awasuta wanaokosoa utendakazi wake

Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametetea utendakazi wa serikali yake kutokana na shutuma ambazo zinaibuliwa na baadhi ya viongozi kaunti hiyo kwamba hamna lolote ambalo ametekeleza katika awamu yake ya pili ya uongozi. Akizungumza na ...

Wadau waelezea kuridhishwa na mwelekeo wa elimu Pokot Magharibi

Na Benson Aswani,Wadau wa elimu kaunti ya Pokot magharibi wameelezea kuridhishwa na idadi kubwa ya wazazi katika kaunti hiyo ambao wamekumbatia elimu kwa wanao ikilinganishwa na miaka ya awali. Wakiongozwa na mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Totum Philip ...

Ushirikiano kati ya kamishina na serikali ya kaunti ya Pokot magharibi watajwa kuwa chanzo cha kupungua uhalifu

Na Benson Aswani,Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ametaja ushirikiano baina ya kamishina wa kaunti hiyo Abdulahi Khalif na uongozi wa gavana Simon Kachapin kuwa ndio umechangia kupungua pakubwa visa vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa mipakani pa kaunti ...

Murkomen atoa hakikisho la kukabili ‘wala watu’ Pokot magharibi

Na Benson Aswani,Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Kipchumba Murkomen amewahakikishia wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kwamba serikali itakabiliana kikamilifu na swala la watoto kutekwa nyara na kupatikana wameuliwa huku baadhi ya viungo vikinyofolewa kwenye miili ...

Kachapin atakiwa kuangazia lalama za wanafunzi kuhusu basari

Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ametoa wito kwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuangazia lalama ambazo zinatolewa na baadhi ya wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu kuhusiana na mgao wa fedha za basari ...

Loading...