News

Wakazi wa Turkwel kunufaika na huduma za kampuni ya KenGen
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amefanya kikao na meneja wa kampuni ya kuzalisha umeme ya KenGen, mhandisi Peter Njenga kuangazia utendakazi wa kampuni hiyo na jinsi itakavyowanufaisha wakazi wa maeneo ya Turkwel ambako kunazalishwa umeme ...

Raila analipwa na rais kutuharibia sifa; Moroto
Na Benson Aswani,Wabunge nchini wameendelea kulalamikia kauli ya rais William Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba wanajihusisha na maswala ya ufisadi katika kuwachunguza maafisa serikalini na hata magavana. Wa hivi punde kulalamikia kauli hizo ni mbunge ...

Poghisio atetea pendekezo la NG-CDF kuondolewa mikononi mwa wabunge
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametetea kauli ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba hazina ya NGCDF ipokonywe wabunge na badala yake isimamiwe na magavana. Akizungumza na kituo hiki Poghisio alisema kwamba ...

Wakazi wa Endough watakiwa kujisajili kupata vitambulisho vya kitaifa
Na Benson Aswani,Mwakilishi wadi ya Endough kaunti ya Pokot magharibi Victor Siywat amepongeza idadi ya wakazi ambao wamejitokeza kuchukua vitambulisho katika zoezi ambalo limekuwa likiendelezwa eneo hilo. Akizungumza na kituo hiki Siywat ambaye pia ni naibu spika wa bunge la ...

Poghisio aelezea wasiwasi kuhusu serikali ya muungano
Na Benson Aswani,Huenda hatua ya serikali ya rais William Ruto kuunda serikali ya muungano na chama cha ODM ikawa na malengo ya kufanikisha maamuzi ya serikali pamoja na kutimiza malengo ya uongozi wa serikali ya rais Ruto. Akizungumza katika mahojiano ...